Anza safari ya kujifunza
Tunaelewa kwanini umekata tamaa
 Kupitia whatsApp voice call - Bei ya ofa : 90,000/mwezi
Haya ni masomo kupitia whatsApp ambayo ni dakika 40 kila siku jumatatu hadi ijumaa, Hii imegawanyika mara mbili, kama unataka kusoma private peke yako kama darasa za kuongea na kuandika, ada yake ni 100,000 kwa mwezi, ila kama hauna haja ya kuandika ungependa kufanya mazoezi ya kuongea tu kuongeza confidence, ada yake ni 90,000 kwa mwezi.
Masomo yanakuwa miezi 3 tu kwa mtu ambae anajua kiasi na anatafuta kuboresha kiingereza chake, ila inachukua miezi 5 hadi 6 kwa mtu anaeanza mwanzo kabisa.
Kupitia zoom video call - Bei ya ofa : 200,000/mwezi
Masomo yanakuwa ya peke yako (private) kwa njia ya video live kwa dakika 40 kila siku, jumatatu hadi ijumaa.
Masomo yanakuwa miezi 3 tu kwa mtu ambae anajua kiasi na anatafuta kuboresha kiingereza chake, ila inachukua miezi 5 hadi 6 kwa mtu anaeanza mwanzo kabisa.
Kupitia app ya simu iliyopo playstore - 20,000/mwaka
Download App yetu na uangalie video za masomo bure kwa wiki ya kwanza, baada ya hapo, utalipia 9,000 tu kwa mwezi. pia unaweza kuungwa group letu la whatsapp kwa 30,000 tu kwa mwezi.
Kama wewe ni mfanyakazi, mzazi au mfanya-biashara usiopenda kuungwa magroup, ila unataka kujifunza na kufanya mazoezi ya kuongea Kiingereza online ili ujenge kujiamini katika kuongea kiingereza na watu, hii ni kwa ajili yako.
kama unataka kuanza leo, bonyeza kwenye hatua za kujiunga.
Tunafanya kazi Jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 09:00 - 17:00. kwa jumamosi na jumapili kutupata, tuma text whatsapp kwa namba +255686768181.